Great thinkerz, naomba mawazo yenu, ni bíashara gn hapa dar ya kuuza bidhaa au ya kutoa huduma ambayo haitaji mtaji mkubwa lakini mtu akiifanya kwa maarifa na ustadi mkubwa inaweza mlipa pesa nyingi? Plz naomba mawazo yenu wadau!
Duh mimi mwenyewe nimechoka lakini la muhimu fanya uchunguzi mwenyewe then itakchokiona ndio uulize watu je inalipa au hailipi,pole sana na hayo majibu.
Tutawajua tu, vitu vingine inabidi kuwa serious na kama hamna cha muhimu ni bora kukaa kimya watu wakamshauri na sio kila kitu utani, haipendezi wakuu, kila mtu anaangalia namna ya kutoka kimaisha na sio kuweka utani!!
Cha kufanya wewe angalia sehemu gani itakufaa kufanya biashara yenye mzunguko wa watu
kisha weka kitu unachoona hapo mahali wana uhitaji nacho utafanikiwa na utatoka kivyako
Katika biashara hakuna msingi mdogo wala mkubwa.....bali inategemea unataka kufanya biashara gani na kwa wakati gani.....na mahali gani.....nakushauri mkuu jiangalie na ujipange kwa mtaji uliokuwa nao then fanya maamuzi......vile vile nakushauri utembelee jukwaa la wajasiliamali........huko naamini utapata idea kibao za biashara kuliko kupoteza muda hapa........kila la kheri mkuu na MUNGU akunyooshee.........
vaa smati tafuta ma document yakushika mkononi alafu u act kama bwana afya au watu wa TrA inalipa unavaana kitambulisho uchwara mbona unapata pesa ndo kaz zinazotuweka mjini au kuuza dhahabu feki na silver uwe muongeaji ndo mtaj