Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,985
Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? πŸ˜”
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?
 
NAFIKIRI YA KUUZA MAJENEZA INABAMBA SANA AWAMU HII .

WAPO WANAOJIUA KWA UGUMU WA MAISHA, WAPO WANAOKUFA KWA UMASIKINI NA PRESHA.

Hivyo Anzisha biashara ya KUUZA MAJENEZA, Kulia misibani, Kuimba Kwaya misibani, Kupiga dhikri misibani, KUUZA misalaba.

AU ANZISHA UGANGA WAKIENYEJI WA KUWAPA WATU UTAJIRI.
 
Hayo ni Mawazo pia
 
Kwanza unge eleza wapi penye unataka kufanyia biashara, sio mbaya kama ukitaja walau kiwango cha mtaji ulio uandaa.....
Hii itaraisisha tusikushauri biashara ya matofali, kumbe una mtaji wa vitumbua
 
Kusifu na kuabudu.
Kuandika gazeti kamabTANZANITE
Kuongea na kupoteza ufahamu kama Mbasha au polepole.
Kuibua skendo kama Zito ili unyamazishwe na wahusika
 
Pale Mlimani City watu waliona kama pamejaaa hamna fursa tena,mchina kaja kaweka michezo ya watoto aiseee panajaza balaaaaaa na kila mchezo mmoja ambao mingi maximum ni dakika 7.kwa Kila .mchezo unalipia elfu tatu mingine elfu sita.Badala ya kujenga bar mengine sehemu za kucheza watoto
 
Biashara ya biriani kwa wadada inawalipa sana mkuu,yaani akiwa na wakina Imma wanne au watano mambo yake supa
 
Biashara ya kuhama upinzani na kurudisha kadi, hii unaweza kuifanya kila wilaya nchini na haina kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…