Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

Mkuu biashara ya Hospital inalipa sana, hii ni miaka yote hadi leo

BTW ukiwa na biashara nyingine hakikisha uko mstari wa mbele kumsifia Mkulu na serikali yake ili uweze kuepuka kufuatiliwa (inshort uwe na kadi ya Lumumba)
 

Mifuko Rafiki wa Mazingira, mbadala wa Mifuko ya Plastiki. Inbox me please.
 
Mavazi piasi mbaya, chunguza tu aina za wateja wako kulingana na eneo lako ili uwaletee vitu vitakavyoendana na uwezo wao kifedha pamoja na staili wazipendazo. Huwezi kuuza suti hapa kwetu mchafukoge.
 
Taja kiwango cha mtaji wako...eneo unaloishi nikusaidie
 
Kama unataka kufanikiwa awamu hii tafuta mchina mshirikiane jamaa wanapata sana mseleleko awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…