Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Bei zake zikoje kwa jumla na rejareja?
Bei zake zikoje kwa jumla na rejareja?
Sasa mtu akinunua 800 halafu ataenda kuuza Bei gani mtaani?High quality bags GSM 80, bei ya jumla mdogo 500 mkubwa 800. Ni biashara ambayo itakulipa fasta. Karibuni nyote.
Sasa mtu akinunua 800 halafu ataenda kuuza Bei gani mtaani?
Unauzia wapiMdogo na mkubwa faida minimum 500. Mdogo uza 1000 mkubwa 1300. Tunazungumzia mfuko bora sana. Ambayo utaitumia kwa zaidi ya miezi mitatu.
Mdogo na mkubwa faida minimum 500. Mdogo uza 1000 mkubwa 1300. Tunazungumzia mfuko bora sana. Ambayo utaitumia kwa zaidi ya miezi mitatu.
We ndio dalali wa hapo kwenu, dada zako wazuri?Biashara nzuri kipindi hiki ni kuuza papuchi
Na wewe pia kwa dada zako pamoja na mama yako.We ndio dalali wa hapo kwenu, dada zako wazuri?