yohana ramadhan
Member
- Jun 22, 2019
- 31
- 18
Weka uzi hapaviatu vya kike.....viatu vya kachukue vya 3000 au 3500,mtaani unauza 5000, kwa laki mbili utapata pea ngapi?? 3500 pea 30,na 3000utapata pea 30,so kwa laki mbili utapata pea kama 60 tu. nazungumza kwa uzoefu sio kwenye makaratasi, kuna Uzi nimeweka hapa jukwaani utafute utakusaidia kuwa,cha umuhimu ni kujua viatu gani vinapendwa na viko sokoni kwa sasa.asante
Aaaaah hyo kazi si watanifilisi hao warembo mkuuJifunze kupaka rangi kucha warembo,kisha anza kuingiza senti
Vile vya bukubuku si ndio....?Uza mkaa wa mafungu mkuu
Ndio mkuu utanishukuru baadaeVile vya bukubuku si ndio....?
Sawa mluu ntajaribu hy idea yakNdio mkuu utanishukuru baadae