Biashara Gani Inafaida Nzuri?

Biashara Gani Inafaida Nzuri?

Robb

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
61
Reaction score
84
Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????
 
Wewe unatafuta zinazo Ingiza faida et, Kwani nini Maana ya Biashara? Kuna Biashara ya Kuingiza Hasara?
 
Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????

Mkuu,hakuna biashara isiyolipa,kiwango ambacho biashara yako itakulipa ni wewe mwenyewe.Fanya biashara ambayo utaifurahia,angalia kitu gani unapenda kukifanya,kigeuze kikutengezee pesa.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Maswali mengine bana kero tu!
Faida nzuri ni faida kubwa na biashara pekee duniani zenye faida hizo ni biashara haramu e.g madawa ya kulevya.
Kafanye sasa tuone!!!!
 
Biashara ya meno ya tembo, bangi na unga/sembe vinalipa sana.
 
ungesema kama ukiwa na mtaji wa kiasi gani,maana unaweza pata faida ya sh 20,000 wakat mtaji uliotumia ni billion 1
 
Biashara yeyote ile inalipa we anza tatizo "watanzania wengi wanashindwa kabla ya kuanza" by Reginald Mengi
 
Back
Top Bottom