Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????
And vise versa is trueungesema kama ukiwa na mtaji wa kiasi gani,maana unaweza pata faida ya sh 20,000 wakat mtaji uliotumia ni billion 1