komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 903
- 1,361
Nahitaji kumfungulia wife biashara, baada ya kuongea nae yy binafsi ana wazo la kufungua duka la kuuza na kuoka cake za harusi, send off, birthday n.k ila mm binafsi nilikuwa nafikiria kumfungulia duka la kuuza simu na accessories zake. Naomba ushauri juu ya idea hizi mbili. Idea mpya ruhusa. Expected capital ni tshs 10 mil
Nashauri mfungulie hiyo ya Keki za Harusi, Send Off na Birthday kwakuwa ina ' wigo ' mpaka wa ' Kiuhitaji ' kuliko hiyo ya Simu na Accessories zake. Kila la kheri Mkuu.
Vp kama tutaamua kuongeza na mapambo ya sherehe pamoja na kukodisha mahema pamoja na viti?Mfungulie hyo alieitaka yeye ataifanya kwa moyo mmoja na kwa umakini pia...
Hadi mziki, in short inalipa na keki huwa zinatengenezwa kwa oda, na chakula hivo hivo tu.. Mnaweza uza chakula kwa oda hadi kwa wenye mikutano.Vp kama tutaamua kuongeza na mapambo ya sherehe pamoja na kukodisha mahema pamoja na viti?
Nipo DSM wilaya ya Kinondoni maeneo ya Mbezi Tangi BovuMkuu, kidogo minipo tofauti na wachangiaji waliitangulia.
Kwanza naomba nikuulize, wewe upo wapi, mkoa gani, wilaya gani?
Baada ya hapo itakua nivyema tukakushauri kutokana na eneo ulipo.
Kivp kaka, unaweza nipa idea kidogo?Duka la simu limetulia zaidi..
Moyo huo kama wa yesu wa kupigwa kofi shavu la kulia kugeuza na la kushoto cdhani kama ninao kaka, labda unifanyie mfungo na maombi ninaweza badilika, mwenyewe vyuma vimekaza nimeamua kuongeza kipato cha familia kwa kutafuta biasharaNiazime hiyo pesa mkuu, nitakurudishia mwezi november, halafu nitakupa na idea
Fungua kampuni ya kukodisha Mahema,Vitu,Maturubai, Vyombo vya harusi,Mapambo Ya harusi N.KNahitaji kumfungulia wife biashara, baada ya kuongea nae yy binafsi ana wazo la kufungua duka la kuuza na kuoka cake za harusi, send off, birthday n.k ila mm binafsi nilikuwa nafikiria kumfungulia duka la kuuza simu na accessories zake. Naomba ushauri juu ya idea hizi mbili. Idea mpya ruhusa. Expected capital ni tshs 10 mil