Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 345 Apr 8, 2023 #1 Leteni idea, mimi naona biashara ya mazao inalipa. Vipi mnaonaje?
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,669 Apr 8, 2023 #2 Kuwa mwanasiasa inalipa sana kwa awamu hii
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Apr 8, 2023 #4 Boda boda mzee inapesa chafu
Banjuka JF-Expert Member Joined May 7, 2021 Posts 1,007 Reaction score 1,922 Apr 8, 2023 #5 Hamna biashara ambayo hailipi.
J Jaspeter Tumaini New Member Joined Oct 21, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Oct 26, 2023 #6 Samahani napenda kutambua wale walioko kwenye masoko ya dagaa wakavu. Maana natamani kufanya biashara hiyo hasa dagaa wa bukoba.
Samahani napenda kutambua wale walioko kwenye masoko ya dagaa wakavu. Maana natamani kufanya biashara hiyo hasa dagaa wa bukoba.