Biashara gani inalipa kwa huu mwaka 2023?

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Leteni idea, mimi naona biashara ya mazao inalipa.

Vipi mnaonaje?
 
Kuwa mwanasiasa inalipa sana kwa awamu hii
 
Samahani napenda kutambua wale walioko kwenye masoko ya dagaa wakavu. Maana natamani kufanya biashara hiyo hasa dagaa wa bukoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…