Biashara gani inalipa?

masenga1122

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Habarini za saa hizi waungwana ?samahan naulizia ni biashara gan ya kutoa vitu vijijin na kuvileta mjini inalipa zaid?naomba msaada wenu tafadhali.asanteni
 
Fanya biashara ya mchele,au maharagwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…