Biashara gani kwa mtaji wa sh Mil 20


mtoa mada ana mtaji wa 20M wewe unazungumzia 1M... mbona unataka kumrudisha nyuma na mipango yako ya ubilionea...sijaona ukitamka neno biashara hata mahali pamoja katika reply yako ..... mtoa mada anatafuta biashara..... inawezekana kabisa una lengo tofauti na biashara
 

...aziwache kwanza benki, wakati anafikiria 'biashara' itayoweza kumzalishia hiyo laki kwa siku.
Kwa mtazamo wa haraka haraka unaweza dhani Guest House, bar, duka, dala dala au teksi inaweza kukuzalishia pesa hiyo, lakini
biashara hizo zimeingia 'sumu.'
 

Hiyo Bold na yenyewe hailipi? That is the business I always dream of! sio kwa mtaji wa 20M lakini. Here you need atleast 100M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…