Biashara gani naweza fanya karibu na hospital ya rufaa

Biashara gani naweza fanya karibu na hospital ya rufaa

Msemaji_

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
602
Reaction score
801
Habarini wakuu,
naombeni mnisaidie biashara gani naweza ifanya karibu na eneo la hospital ya rufaa, maana nina kakiwanja eneo hilo ila sijui nifanye biashara gan itakayo endana shunguli za hospital.
 
Habarini wakuu,
naombeni mnisaidie biashara gani naweza ifanya karibu na eneo la hospital ya rufaa, maana nina kakiwanja eneo hilo ila sijui nifanye biashara gan itakayo endana shunguli za hospital.
Miamala, Chakula, Matunda, Duka la Dawa, Nguo za baridi ( mashuka ya kimasai )
 
Uza chakula, miamala ya kifedha, matunda, nguo za watoto wadogo, unatengeneza package ya mabesin ya kuoshea watoto, weka pampasi, nguo za vichanga, poda etc
 
Back
Top Bottom