Biashara gani naweza fanya kati ya z'bar na bara?

Biashara gani naweza fanya kati ya z'bar na bara?

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
Wadau,

Naombeni idea zenu kuhusu biashara gani naweza kufanya kati ya Zanzibar na Bara (ikiwezekana Dar).
Na pia kuhusiana na masuala ya kodi.
Mtaji ni kama 10m.

Shukran.
 
Wadau,

Naombeni idea zenu kuhusu biashara gani naweza kufanya kati ya Zanzibar na Bara (ikiwezekana Dar).
Na pia kuhusiana na masuala ya kodi.
Mtaji ni kama 10m.

Shukran.

Kiti moto ni biashara inayo lipa sana Zanzibar, tafuta eneo Zanzibar uwe unapeleka na majahazi
 
Mkuu TIQO kakueleza bidhaa ya kutoa bara kupeleka Zenj, na kutoka kule kuja huku unaweza kuleta 'mashoga', mayai viza, ubani makka, ubani mashtaka, marash muje, maji maiti, sanda, udi na karafuu.

Fungua duka buguruni mlete Shaweji au Shaame akuuzie.

TAHADHARI: Usithubutu kuleta bidhaa hizo Mara, tutakufanya kitu hujawahi ona.
 
Last edited by a moderator:

Be wise with
SPEED
. A fool at forty, is a fool
INDEED
!
 
Wadau,

Naombeni idea zenu kuhusu biashara gani naweza kufanya kati ya Zanzibar na Bara (ikiwezekana Dar).
Na pia kuhusiana na masuala ya kodi.
Mtaji ni kama 10m.

Shukran.
kuna mdogo wangu alikuwa anapeleka mikate kwa jumla ananunua kwa bahresa alipata faida sana na alianza na mtaji mdogo tu,ila wakati ule hao wazanzibari walipochoma vibanda vya wabara walimchomea kila kitu,.fanyia uchunguzi hii inaweza kuwa nzuri
 
Mkuu TIQO kakueleza bidhaa ya kutoa bara kupeleka Zenj, na kutoka kule kuja huku unaweza kuleta 'mashoga', mayai viza, ubani makka, ubani mashtaka, marash muje, maji maiti, sanda, udi na karafuu.

Fungua duka buguruni mlete Shaweji au Shaame akuuzie.

TAHADHARI: Usithubutu kuleta bidhaa hizo Mara, tutakufanya kitu hujawahi ona.

Yaani we upo kaa maku maku vile
 
Last edited by a moderator:
We pabaya jamaa anaomba ushauri we unamwaga povu, sio lazma ukate mauno katika kila post, waweza kaa kimya ukaficha upumbavu wako
 
Kwa mtaji huo waweza tafuta magari bei rahisi ukaja uza bei kubwa kidogo. Ila uwe na hakika ya mteja. Kama we ni mzenji angalia vitu gani rahisi bara ukauze kule mfano nyama, vitunguu nk. Huku Dar waweza leta nguo tshirts za kiume, jeans, vitambaa vya kike, English golds nk kama ukipata bei ya jumla italipa. Fanya utafiti. Jamani biashara haina chuki, baniani mbaya kiatu chake dawa. Tushirikiane tu.
 
Biashara inayolipa Zanzibar ni Sekta ya Utalii tu, mfano wauzie samaki na nyama wenye mahòteli, kuna mahoteli 200 katika pwani mbalimbali na hawapati supply ya kutosha, mfano wangekuangukia wawekezaji kama ungewapa samaki wa kutòsha, wenyeji hawana time ya kwenda baharini wako bize na umbea dhidi ya Tanganyika.
 
Be wise with
SPEED
. A fool at forty, is a fool
INDEED
!
Umenena mkuu, nilikuwa namtaftia jibu huyu mpumb*v lakini naona ulivyomjibu inamtosha. Watu wengine naona wanapotea njia na kusahau hili ni jukwaa la BUSINESS AND ECONOMIC wanaanza kuandika upmbav mtupu wakati mtu anataka mawazo ya maana!!
 
Ingia bara, tafuta mtu aliyechoka akuuzie enéo la kiwanja lenye thamani ya sh. Mil 5,
utakiuza kwa mil 10.
utakuwa umetengeneza faida mara mbili!
utafanya hivyo tena na tena, utanunua kulingana na thaman ya eneo na faida unayotengeneza.
 
kuna mdogo wangu alikuwa anapeleka mikate kwa jumla ananunua kwa bahresa alipata faida sana na alianza na mtaji mdogo tu,ila wakati ule hao wazanzibari walipochoma vibanda vya wabara walimchomea kila kitu,.fanyia uchunguzi hii inaweza kuwa nzuri

Siku hizi bakhresa anapeleka mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
habari za leo. kwa anayejua bei ya vitunguu aina zote zanzibar anijulishe
 
Back
Top Bottom