N new g Member Joined Mar 7, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Jan 24, 2017 #1 Habari zenu jamii, Naombeni mawazo yenu na ushauri, Nina laki 3 nimepata nataka hii pesa ispotee tu kwa matumizi mbali mbali ni biashara gani naweza invest kiasi hichi kidogo na ikawa inazaa.
Habari zenu jamii, Naombeni mawazo yenu na ushauri, Nina laki 3 nimepata nataka hii pesa ispotee tu kwa matumizi mbali mbali ni biashara gani naweza invest kiasi hichi kidogo na ikawa inazaa.
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 10,587 Reaction score 13,425 Jan 27, 2017 #2 Upo Wapi mkuu