jane_000 JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 547 Reaction score 43 Feb 26, 2012 #1 wadau nipo na million 30 nifanye biashara gani before sijazilia bata hizi hela naomba ushauri wenu wa kuu
wadau nipo na million 30 nifanye biashara gani before sijazilia bata hizi hela naomba ushauri wenu wa kuu
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,329 Reaction score 5,024 Feb 26, 2012 #2 jane_000 said: wadau nipo na million 30 nifanye biashara gani before sijazilia bata hizi hela naomba ushauri wenu wa kuu Click to expand... Pitia nyuzi za nyuma huko zenye swali kama lako,unaweza kupata idea ya nini cha kufanya.
jane_000 said: wadau nipo na million 30 nifanye biashara gani before sijazilia bata hizi hela naomba ushauri wenu wa kuu Click to expand... Pitia nyuzi za nyuma huko zenye swali kama lako,unaweza kupata idea ya nini cha kufanya.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Feb 26, 2012 #3 Mkuu hilo swali lako lina fanana na mengine mengi kama hili so kama ulivyo ambiwa pitia thread zote utakutana na ushauri, na nyingine itakuwa hapa hapa haijaenda mbali
Mkuu hilo swali lako lina fanana na mengine mengi kama hili so kama ulivyo ambiwa pitia thread zote utakutana na ushauri, na nyingine itakuwa hapa hapa haijaenda mbali