Usikatae ushauri ule unao uona mbovu ndio utakao kutoa,kaa tulia changanua kwa mazingira yako unawezakufanya kazi na ukawa rafiki?Kuna wapumbavu wanakuja na comments zao za" fanya kilichokuwezesha kupata hiyo laki 5"
Naombeni ushauri nzuri jamn nina laki 5 nifanye biashar
Biashara ni risk, biashara ni skills+uzoefu Biashara ni passion Are u ready kufelii kbs na kuanza upya?Naombeni ushauri nzuri jamn nina laki 5 nifanye biashara gani?
MjiniUpo nachingwea mjini au vijijini?
Nunua korosho paki vizuri watembezee wasafiri ,bei iwe rafiki na pia ziwe na ubora.Mjini
😁😁Ghafla sana tutafute sehemu iliyotulia tuagize nyama choma tujadiliane ufanye nini