Yasintajohn56
Member
- Jul 26, 2022
- 25
- 50
Tena aende buhongwa pale ndo kuna nyomi la watuMilioni mbili fungua Duka la mahitaji muhimu ya nyumbani na mahitaji ya kila siku.
Kikubwa uwe uko na nidhamu ya pesa pia chagua location au mtaa wenye watu.....ninazo idea nyingi ila lazima nikushauri kulingana na wewe unapendelea kufanya nini???? Leo nimeanza na hiyo hapo juu.
Ameenda mazima.Yasintajohn56 mrejesho