Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Naona LAT amekukatisha tamaa kama ungekuwa tayari kwa hiyo project tungewasiliana na Mchad ufanyanae kazi=======================
Mkuu unasema kweli au unatani?
maana mimi nikotayari kuianzisha hiya project kama utaniunganisha nahuyo mchad
Watu wanaofanya biashara za haya magari sijui aisee maana kuna jamaa aliyaagiza kilichotokea yote yako yard yanapigwa kutu watu hawana mpango nayo wateja wake ni wachache sanaWakuu ili tuweze kuwa makini na aina za biashara pale tunapotaka kuwekeza na kufanya biashara ninaomba angalau tujuzane biashara gani ni pasua kichwa (biashara kichaa) yaani katika makundi haya: hutumia muda mwingi, usumbufu mkubwa, risk kubwa na pia faida hupatikana kidogo .... hii ni katika level ya ujasiriamali .... assuming that unaifanya kwa ufanisi wote na discipline ya biashara
hapa tunaweza kupata na ufumbuzi wa mojawapo ya biashara pasua kichwa
- yaweza kuwa biashara ya kuleta magari toka nje yasiyo na brand za kijapani .... kama vile volkswagon, hammer, Peugeot, Renault, BMW, range rover n.k ?
- Biashara ya kuleta mkaa kama agent wa wachoma mikaa na kuwauzia retailers ?
- biashara ya maji ya kunywa retail ?
- biashara ya kuuza vocha za simu ?
- biashara ya daladala ?
- biashara ya bodaboda ?
- biashara ya taxi ?
- gutter politics (siasa uchwara) ...?
- biashara ya udalali kishoka
na nyinginezo nyingi twaweza endelea kuzitaja na kuelezea
hakuna anayetaka kupasua kichwa kwa kufanya bishara kichaa ..... i stand to be corrected
Hahahaha ngoma inasafirishwa kwa Emirates chini ya ulinzi mkalibiashara inayoniogopesha ni ya madini ..... yaani ukizubaa kidogo tuu ujanja unaingia
biashara ya usafiri ni kichaa in TZ
-TRA
-Trafiki
-Sumatra
-Majembe-yono
-Mateja,wapiga debe ,dereva unproffesional
hapo ndio utaona ukichaa wa biashara hii ya usafiri in TanzaGIza
Mkuu, unakumbuka bei kwenye miaka ya 1970 ilikuwa sh ngapi?
Wakuu ili tuweze kuwa makini na aina za biashara pale tunapotaka kuwekeza na kufanya biashara ninaomba angalau tujuzane biashara gani ni pasua kichwa (biashara kichaa) yaani katika makundi haya: hutumia muda mwingi, usumbufu mkubwa, risk kubwa na pia faida hupatikana kidogo .... hii ni katika level ya ujasiriamali .... assuming that unaifanya kwa ufanisi wote na discipline ya biashara
hapa tunaweza kupata na ufumbuzi wa mojawapo ya biashara pasua kichwa
- yaweza kuwa biashara ya kuleta magari toka nje yasiyo na brand za kijapani .... kama vile volkswagon, hammer, Peugeot, Renault, BMW, range rover n.k ?
- Biashara ya kuleta mkaa kama agent wa wachoma mikaa na kuwauzia retailers ?
- biashara ya maji ya kunywa retail ?
- biashara ya kuuza vocha za simu ?
- biashara ya daladala ?
- biashara ya bodaboda ?
- biashara ya taxi ?
- gutter politics (siasa uchwara) ...?
- biashara ya udalali kishoka
na nyinginezo nyingi twaweza endelea kuzitaja na kuelezea
hakuna anayetaka kupasua kichwa kwa kufanya bishara kichaa ..... i stand to be corrected