ContentCreator
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 151
- 231
Sawa mkuuHapa ndipo unakosea,
Tambua nyumbani umetoka peke yako, Na mwisho wa masomo kila mmoja atakuwa na maisha yake akipambana kivyake.
Fanya kile chenye manufaa kwako kwa sasa na kwa maisha yako ya baadae.
Anza kukupesha kwa riba, lakini unatakiwa uwe katiliNipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.
Mawazo yenu yana umuhimu.
Chuo: UDOM
2016-2019 nimeuza nguo, viatu na marashi.Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.
Mawazo yenu yana umuhimu.
Chuo: UDOM