KIJANA WA MUNGU
Member
- Aug 4, 2014
- 21
- 7
Ahsate mkuu kwa ushauri wako, ila kuhusu biashara ya mafuta, guest hiyo siiwezi mtaji wake mkubwa sana. mimi nina kamtaji kadogo sana tu labda biashara ya ngano, unga na mafuta. naomba kujua change moto za usafiri ni zipi? mkuu kamtaii kangu kadogo sana shs 7milion tu mkuu

Kabla hujafanya lolote nakushauri nenda Mafia ukajionee, ujuane na wenyeji wafanya biashara wa pale ili uelewe hali halisi.
Usichukuwe ushauri kwa mtu ambae hafanyi biashara. Nenda.

Nawashukuruni wote kwa mchango wenu, nitaufanyia kazi, nitaenda kufanya utafiti kabla ya kuanza biashara na baadae nitawarudia kuwapa ripoti. mbarikiwe
Nafikiri hicho kisiwa kingine sio kibondo kinaitwa Jibondo Mkuu. Nmefika huko watu kisiwa kizima wanaishi kama familia moja. Kibondo ipo Kigoma.habari yako mdogo wangu kwanza wewe ushawahi fika mafia, kwa upande wangu mimi nishapuyanga visiwa vyote hapo kuanzua hapo kilindoni, hadi visiwa vya nje vya mafia kama chole, juani, na kibondo....mimi hapo nilikuwa nafanya biashara ya uvuvi...ila kwa wewe mafia kuna fursa kuu mbili.
(1) biashara ya mafuta Petrol na diesel...Mafia kuna sheli mbili tu bado haikiji watumiaji wa vyombo vya baharini na bodaboda na magari (2) fungua gesti ya kisasa ..Mafia inakuwa ki utaliiii watu na wageni wanakuja tembea huko..kwa hiyo gesti zinalipa (3) bidhaa kupeleka kama Ngano, unga wa Sembe mafuta ya kupikia n.k ila hiyo ina changamoto yake katika usafirishaji.sasa wewe ulikuwa na idea ipi hapo.
Pia kuna ardhi nzuri sana yenye malisho mazuri. So unaweza fuga ng'ombe kule kama utakuwa na njia ya kusafirisha kwenda bara. Niliwaona wasukuma wengi kule wanafuga ng'ombeukienda huko wasiliana na huyo jamaa ni mfanyabiashara wa siku nyingi huko ana duka kwabwa anauza ngano, mahindi, mafuta ya kpikia, sukari..etc anaagiza mzgo toka dar anaitwa amiri...namba yake hiyo 0787621232 anairwa amiri..
Jibondo ndiyo, nmekaa paleNafikiri hicho kisiwa kingine sio kibondo kinaitwa Jibondo Mkuu. Nmefika huko watu kisiwa kizima wanaishi kama familia moja. Kibondo ipo Kigoma.