Biashara gani ya nafaka ina soko zuri kipindi hiki?

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,305
Reaction score
2,563
Ni biashara gani ya nafaka (mahindi/mpunga) ina soko zuri kipindi hiki?
 
Ni biashara gani ya nafaka (mahindi/mpunga) ina soko zuri kipindi hiki?

mahindi maana yamepanda bei kiukweli ila mchele naona umeshuka bei nina wasiwasi sana ila mahin di reja reja yamefika buku kwa kilo
 
hahaha! Dah wee jamaa hufai aisee unafanya Censorship humu? Japo.nimependa observation. yako.
Hoja yake nzuri tu!
Kuna utofauti wa mahitaji kutoka sehemu A kwenda sehemu B.
 
mahind mkuu japo kuwa naona mchele nao.utapanda sana kuuanzia miez 9..kama upo vizur jumua mpunga then upige stoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…