Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fursa ya biashara ipo....sory umewahi fanya biashara yeyote kablaNilikuwa napenda kuwaulizia biashara gani inalipa sana pale Geita Mjin kwa wenyeji wa maeneo hayo kwa mtaji wa 1.5M
Kwa hela aliyonayo inatosha kuanzisha hii bishararaBiashara ya mikopo..
Inatosha sana..Kwa hela aliyonayo inatosha kuanzisha hii bisharara
Electronics..na simu ..
mtaji kiasi ganinenda lwamgasa migodini peleka chemicals za kulipulia miamba,hutojutia kuijua jamii forums
Mkuu hi biashara unafanyaga nini,
(Fridge, tv,radio,solar, inverter, speaker, Mike,, etc )
nenda lwamgasa migodini peleka chemicals za kulipulia miamba,hutojutia kuijua jamii forums
Samahan wamechapikajeJana wamechapika balaa😅😅..wako hoi
Walivamia mgodi bila ruhusa.Samahan wamechapikaje
Uwekezaji wa madini kuna uhuni Sana, kuanzia kurogana, kudhulumiana, na kuuanaWalivamia mgodi bila ruhusa.
bad kuna sinntofaham unaambiwa kumetema