TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hapo kweli raia hawachomoki ,lazima wanunue.Mgahawa watu wameanza kuogopa kula migahawani kama hakuna ulazima.Sasa hivi hali ngumu sana ..lakin biashara ya mazao sahivi itaanza kulipa sana.
Biashara ya kuuza matunda aina zoteHabari JF!
Nimeanza ku sense kwamba mauzo yanapungua kwenye biashara yangu ya mgahawa nikachukua hatua ya kuongea na mfanyakazi wangu jinsi gani tunaweza kukuza mauzo maana nilitaka kumlaumu kwa uzembe lakini nikaona ni vyema tukabadilishana mawazo nijue changamoto zake kabla sijamlaumu maana yeye ni mgeni kwenye biashara.
Baadae nikaenda kutafuta taarifa za mauzo kimya kimya kwa mshindani wangu kibiashara nikaona naye analalamika hapo nikagundua kwamba nauza sana kuliko mpinzani wangu na hiyo ni sababu mm nauza asubuhi mpk usiku tofauti na mpinzani wangu.
Wadau ebu tupeane michongo ni biashara gani ambayo haiwezi athirika na Corona ???
Mahindi unchukua mkoa gani?Kweny maharage na mahindi ndo sehemu ambazo nikimbilio la wengi.
Mazao hayo kama yepiSasa hivi hali ngumu sana ..lakin biashara ya mazao sahivi itaanza kulipa sana.
Nina shamba langu nimepanda pilipili kama migahawa na hotels zitafungwa naona kabisa nakula kichapo cha mbwa koko.Sasa hivi hali ngumu sana ..lakin biashara ya mazao sahivi itaanza kulipa sana.
Mchele,maharagwe,mahindi,ng'ombe,ndizi,,mafuta,gase,mkaa,