Biashara gani zinafaa kipindi hiki cha Corona?

Mbikiboy

Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
89
Reaction score
86
Habari wadau, kama nilivyoeleza hapo juu. Biashara nyingi zimekuwa ngumu sana hasa kipindi hiki cha Corona.

Tushauriane jamani biashara gani zitafaa kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi za kuomba ushauri wa kibiashara zimekua nyingi sana..Nashauri mnaoanzisha nyuzi mpate muda wa kupitia jukwaa la biashara na ujasiriamali..Kuona tulichochangia kuhusu ushauri mbalimbali wa kibiashara..Maana nyuzi zinajirudia sana
 
Habari wadau,kama nilivyoeleza hapo juu!Biashara nyingi zimekuwa ngumu sana hasa kipindi hiki cha Corona.Tushauriane jamani biashara gani zitafaa kipindi hiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya betting kuhusu corona.
Ni nchi ipi maambukizi yatashuka/panda kwa siku.
Vifo vingapi vitatokea au wagonjwa wangapi wataruhusiwa kutoka karantini nk.
Biashara hii itakuwa bomba maana wale member wote wa betting wataendelea na mchezo kama kawa hata baada ya league kusimamishwa.
Corona ndio league yenyewe kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishati kama gesi, mkaa

Duka la rejareja la vyakula nk

Hospitali, zahanati, phamarcy, labs, Hizi kwasasa naona zinapiga hela sana

Delivery services

Dawa za asili, viungo

Barakoa, sanitizer, ndoo na mashine za kunawia mikono

Usithubutu kukopesha kipindi hiki utalia hahaha, labda akupe vitu kama Gari, Hati nk ukae navyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…