Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mi ninavyojua ukiwa na passport au konali cha muda wanachofanya wanakugongea muuhuri. EAC hatutumii visa jamani. Mi nishafika bujumbura na kigali tena enzi hizo nilikuwa natumia vibali vya muda. Ila kumbuka kuchanja yello fivor.
Nimesikia kuwa watz wapo kibao tu. Nataka nifike mwenyewr no matter what! Hofu yangu ni boda ya Rwanda, hawa jamaa nasikia wanatuchukia sana.
Mrejesho vipi mkuu..ulifanikisha??Wadau nauliza kama kuna mbongo ambaye amewahi fika Goma DRC ili nijue boda aliyopitia na ugumu uliopo. Nasikia kuna watannzania wanafanya biashara huko, nataka nikachungulie.
Sasa unambishia nini wakati wewe gharama zako ndio zipo juuMkuu, one million for a week? Anaenda kutalii?...kwanza wiki nzima ya nini kwani Goma mji si mkubwa wa kumsumbua, 4 days na laki 6 zinatosha sana bana!
boss ulifanikiwa kwenda goma?Wadau nauliza kama kuna mbongo ambaye amewahi fika Goma DRC ili nijue boda aliyopitia na ugumu uliopo. Nasikia kuna watannzania wanafanya biashara huko, nataka nikachungulie.
Atupatie mrejesho..mana ni muda sasa.boss ulifanikiwa kwenda goma?
Waasi huwa wapo mbali huko misituni..ingawa ukiwa mjini unaweza sikia mikito ya mabomu na risasi kwa mbali.Vipi waasi kule?