kweli tumeona utafiti wako kwa jins ulivyokuja na kuonyesha michanganuo na utafiti wako. miaNi ile ya kuexport mbwa... nimefanya utafiti mitaa mingi huko chaina wanagombewa kama daladala za mbagara!
Ni ile ya kuexport mbwa... nimefanya utafiti mitaa mingi huko chaina wanagombewa kama daladala za mbagara!
Majigo, Heshima kwako Mkuu, utafiti wako waweza kuwa sawa lakini wadau ni kama vile hawaamini-amini, hebu mwaga data zaidi.......Anyway, binafsi bado nakumbuka ulivyotufunga "tela" kwenye hadithi yako ya, "Nitakufa mara ya pili"....Ni ile ya kuexport mbwa... nimefanya utafiti mitaa mingi huko chaina wanagombewa kama daladala za mbagara!
MKuu ni kweli hawaamin nasema kuwa ni shavu kwa sababu huku Tz Manapatikana kiurahic wakati mitaa ya huko CHANGCHUTANG, KHUANJDE, , ZHANJIANGH, CHUILIN ,DOUYICHU, YICHIAULONG, LYCHEE n.k mbwa mmoja ni sawa na bei ya mbuzi aliyenona huku DarMajigo, Heshima kwako Mkuu, utafiti wako waweza kuwa sawa lakini wadau ni kama vile hawaamini-amini, hebu mwaga data zaidi.......Anyway, binafsi bado nakumbuka ulivyotufunga "tela" kwenye hadithi yako ya, "Nitakufa mara ya pili"....