Biashara hii vipi?

Biashara hii vipi?

jafarikyaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
378
Reaction score
269
Wasalam!

Nataka nisafirishe viazi kutoka Mbeya kuja Tanga. vipi vinalipa wadau au mnanishaurije kuhusu hili?
 
Tena sana wahi mapema huu ni mwezi
Mtukufu
Kila kitu bei iko juu
 
Back
Top Bottom