Biashara hizi: Safari ya kurudisha mpira kwa kipa Kesho ndo hatimae yake

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Kesho naenda kwa afisa elimu akanipe japo shule nikanivolontie biashara Iko ila nahitaji niongeze uwanja wa pesa.

NINA DEGREE YA EDUCATION NATAKA NIKAOMBE KAZI SERIKALINI. Tatizo ni kumpata mfanyakazi hapa asije ua biashara yangu tu.

Nasikia ukisema unajitolea unapewa kapesa la soda mwisho wa mwezi wenye uzoefu wa hizi techniques hivi ni kweli?

Please kabla sijarudisha mpira kwa kipa
 
Komaa na biashara mkuu #kuajiriwa ni utumwa alafu kuajiriwa ni woga na woga ni Rafik wa kushindwa #maisha ya walimu yana tia huruma Sana #komaa na biashara usiweke mtu utakuja juta #
 
si kwa awamu hii mzee mwenzangu, awamu zilizopita ukijitolea popote wanakufikiria.
 
@october man ulipotelea wapi sijakuona kitambo

Mshauri Mdogo wako hapa kuwa degree sio kitu cha kujikweza aitumie kupata hela au umuulize kakaake CCNP Engineer
Jamaa mm namuonea huruma sana degree yenyewe anayojikweza nayo eti ni ya ualimu ambayo akiajiriwa anapata mshahara 450000 tu.
Wakati Kuna watu degree zao zinawapa mishahara ya several millions na hawajikwezi.
 
Yaan kweli ni changamoto ya elimu yetu MTU anaona kuajiriwa ualimu ni kama uwaziri hivi
 
Yaan kweli ni changamoto ya elimu yetu MTU anaona kuajiriwa ualimu ni kama uwaziri hivi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sababu nyingine pia ni low technology au kuachwa nyuma ya utandawazi kitu ambacho kinamfanya asijue watu wengine wanaishi vipi.
Yeye anaangalia kijijini kwao tu kwamba yeye ndio msomi Basi anavimba kichwa
 
Komaa na biashara mkuu #kuajiriwa ni utumwa alafu kuajiriwa ni woga na woga ni Rafik wa kushindwa #maisha ya walimu yana tia huruma Sana #komaa na biashara usiweke mtu utakuja juta #
Sawa mkuu nimekupata
 
Jamaa mm namuonea huruma sana degree yenyewe anayojikweza nayo eti ni ya ualimu ambayo akiajiriwa anapata mshahara 450000 tu.
Wakati Kuna watu degree zao zinawapa mishahara ya several millions na hawajikwezi.
Wapi nimejikweza? Acha uzushi bas
 
Huko huko uliko haijalishi ni wapi, panga chumba anzisha darasa lako,
angalia eneo ulipo kuna uhaba wa huduma gani ya elimu, mfano, shule ya awali/chekechea, tuition ya msingi/sekondari kuna baadhi ya masomo huwa yanawasumbua sana kuelewa darasani, na vile wewe una degree ya education,am sure utayamudu masomo yao.
Unaonyesha unapenda kufundisha, fanya kitu upendacho na ufanye kwa makini utafanikiwa,
Hakuna kitu kinakuwa kama uyoga, mambo ni taratibu na wakati mwingine vinakaribia kufa , muhimu usikate tamaa, pambana nacho huku ukiendelea kurekebisha makosa yanayosababisha kuyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…