Napatikana ilala Ila nimeweka contact hapo tunaweza wasiliana WhatsApp au call me ni natural oil1. Unapatikana wapi
2. Bei kwa lita ni sh ngapi
maana mjini hapa ni mali ghafi ya kutengenezea sabuni za magadi unaweza ukaja tuka weka nguvu pa1 tutengenezee sabuni
OK ndiyo naandaa so kama utataka contact nicheki 0678180202 utanisaidia sana nitashukuru sanaHongera sana sana, nimependa ulivyobrand! Hongera mno! Unaweza kutengeneza ikawa kwa pamoja na contact zako kwenye picha ili nikusaidie kutuma kwenye makundi yangu!