ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
habari wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa wale wenzangu na mimi ambao tunafanya biashara ya vitu used.
Yani kwa mtu yeyote anayeuza kitu chochote used anaweza kuutumia huu uzi na kutangaza na kuuza mpaka na kupatana na wateja ama mteja wake.
Mfano : simu used magari used radio used nyumba, viwanja, mashamba baiskeli used, pikipiki used miti, mbao, frame za kukodisha, nyumba za kupanga, faniture mbalimbali, machine tofauti tofauti.
Kwa muuzaji na mnunuaji usisahau kuweka maelezo YA Jinsi wewe unavyopatikana mfano no YA simu sanduku LA posts email address zako nyingine
lengo no kurahisisha biashara baina YA wauzaji na wanunuaji,
NB: Hakuna sehemu nilipoandika kwamba ni lazima wewe utangazie biashara yako apa ama niliposema no lazima biashara yako ifanyike kupitia apa hii ni kwa wale watakao penda na ambao wako serious kufanya ivyo,
Ivyo sitegemei mapovu YA Aina yeyote ule Wala matusi YA Aina yeyote ile ukitukana katika page hii utakuwa so mstaarabu