Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

Benews

Member
Joined
Jul 29, 2020
Posts
18
Reaction score
13
Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.

Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu jf Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi, hapo hapo akanishauri kuchukua Mabello yanguo za baridi za watoto na mengine yanguo za joto.

Aliniuzia Tsh. 400,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu Soko lamemoria nikapata, nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao.

Kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu. Kwasasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato.

Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo, ila sio lazima tufanye biashara ya aina moja mdau ila biashara inalipa kuliko kukaa bure.
 
JF imebadilika sana kila nikifungua ukurasa wa jamii forum na kuanza kusoma post nakumbuka jamii-forum ya zamani. Aisee uongozi fanyeni mpango mnatufanya wakongwe tuache kuingia humu. Mimi nakumbuka JF ilikuwa sehemu ambayo unapata ushauri wa bure ambao ni wa uhakika. Sasa tunaingia na kusoma uongo, yaani chai za asubuhi kabisa kweli ? Fanyeni kikao.
Fanyeni kikao mjiulize huyu amelipia tangazo au la ? Maana muda sio mrefu nitaacha kutumia huu mtandao maana utanifanya nianze kuota matiti.
 
Mkuu biashara sio rahisi hivyo. Biashara unaanza na faida moja kwa moja haipo, Huna maarifa na hiyo biashara, hujapambana kwenye ulimwengu wa roho na kushinda, hujaanguka na kujifunza kutokana na makosa, wewe moja kwa moja faida, sio kweli
 
JF imebadilika sana kila nikifungua ukurasa wa jamii forum na kuanza kusoma post nakumbuka jamii-forum ya zamani. Aisee uongozi fanyeni mpango mnatufanya wakongwe tuache kuingia humu. Mimi nakumbuka JF ilikuwa sehemu ambayo unapata ushauri wa bure ambao ni wa uhakika. Sasa tunaingia na kusoma uongo, yaani chai za asubuhi kabisa kweli ? Fanyeni kikao.
Fanyeni kikao mjiulize huyu amelipia tangazo au la ? Maana muda sio mrefu nitaacha kutumia huu mtandao maana utanifanya nianze kuota matiti.
Achana na hadithi za ukongwe, ukongwe kitu gani?

Mada za wakongwe ukitaka ziko kibao humu. Mada kama haikufai unaachana nayo mambo ya kutishia ukongwe hayana maana yoyote.
 
Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.

Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu jf Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi, hapo hapo akanishauri kuchukua Mabello yanguo za baridi za watoto na mengine yanguo za joto.

Aliniuzia Tsh. 400,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu Soko lamemoria nikapata, nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao.

Kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu. Kwasasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato.

Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo, ila sio lazima tufanye biashara ya aina moja mdau ila biashara inalipa kuliko kukaa bure.

HAPA HUMUIBII MTU KWA HII STYLE. HUU UTAPELI WA KIZAMANI SANA. WATU WAPO MAKINI SANA.

Moderator @yingyang muangalie huyu dogo.
 
Achana na hadithi za ukongwe, ukongwe kitu gani?

Mada za wakongwe ukitaka ziko kibao humu. Mada kama haikufai unaachana nayo mambo ya kutishia ukongwe hayana maana yoyote.
Kwaa hio hii thread ina faida gani ? naomba unisaidie mwenzangu. Naomba unitajie moja tu mkuu. Maana mimi sina akilia au sina maaarifa kama wewe.
 
Mkuu, haina maana kwamba huna maarifa wala akili. Ni kwamba unataka kufanya maisha rahisi yawe magumu, ku complicate mambo. Humu ndani kumejaa watu wa kila aina na mada za kila sina, kikubwa ni kuchagua watu ama mada unazopendelea na nyingine ambazo wewe hazikupendezi achana nazo.

Mambo mangapi ya hovyo yanafanyika hii nchi, uliwahi kutishia hata siku moja utaondoka nchini sababu ya mambo ya hovyo?

Hoja yangu ni kwamba, ignore topic ama hoja unazoona kwako hazina maana.
 
Hakika

Back
Top Bottom