Biashara inakua

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Kuna fremu ya familia ilianzshwa biashara
Ila biashara ikawa inafilisika kila xku...na sababu kuu ni;
1.Muingiliano wa usimamiz(kila mwanafamilia alkuwa ni muhusika)
2.matumizi ya hela(kila kitu walitegemea dukan)
3.Mikopo ilizidi

Biashara ikafungwa nami ndo nkaamua kuifungua rasmi kwa hela na nguvu zangu na nilianza kwa hela ndogo sana kiukweli...hata laki haifiki

Nashukuru sasa hivi vitu angalau vmejaa...kila kitu kipo....vocha zipo...sigara zpo..nimeongeza na huduma ya kusajili laini pia....hii ni kujiwekea mshahara wa mwsho wa mwezi pia

Just nnachoomba ni ushauri...kipi nfanye biashara iendelee kukua....na vitu gan vyenye faida vya kuongeza....!!nataka kuweka na bia pia
 
Itaje biashara yako mkuu ili tujue jinsi ya kukusaidia
 
Ongeza tu ubunifu kama wa mwanzo huku ukiweka nia.
 
ww ndio utakua na information za kutosha juu ya nini ufanye, maana ww ndio upo hapo dukani na unajua mahitaji ya watu wa hapo. hakikisha unajitahidi kwa kadri uwezavyo kuwafikishia wanachohitaji.

kwa mfano: wakija watu wanataka blueband, na ww huna blueband. basi hakikisha unaileta. na pia ukiwa unajua kwamba utaleta basi usiwaambie kuwa huuzi blueband, waambie waje siku nyingine leo hazipo. (hakikisha unaleta lakini huo mzigo, usiwape ahadi za uongo wateja wako).

apply huo mfano kwa bidhaa nyingine.

kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…