Biashara inauzwa kama ilivyo - Arusha

Biashara inauzwa kama ilivyo - Arusha

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
2,956
Reaction score
1,114
Biashara inayoendelea ya duka la jumla na rejareja inauzwa kama ilivyo. Duka liko eneo la soko kubwa na lina wateja wengi. Ukubwa wa duka ni mita za mraba zisizopungua 100. Linafaa sana kwa waagizaji bidhaa kutoka nje ya nchi. Anayetaka kuliona apige 0783 38 00 94.
 
Kwa nini linauzwa.........?
 
Mwenyewe anahamia Bagamoyo kwenye biashara ya utalii na hoteli.
 
Stock plus equipment Tzs 40m, shop space Tzs 120m. Kwa kifupi usd 100,000 unapewa funguo na nyaraka zote za Brela ili kubadilisha umiliki. Jina la biashara linaweza kuendelea kutumika kwa kuwa nyumba ni ya kupanga na kusiwe na haja ya kubadilisha mkataba wa upangishaji.
 
mmh. ..nyumba ya kupanga chumba 120m.. ? ni arusha au new york
 
Inaonekana wewe ni mgeni katika biashara. Hapa nyumba ya NHC ya biashara ya ukubwa huo hupati chini ya tzs 500m Sokoine Road!!
 
Kiongozi 120M ni eneo kubwa sana.Ni nakumat?
 
nakumbuka mwaka huzi kariakoo kuna jamaa alinunua duka kwa 40 M nyumba ya NHC leo arusha 120???"""!!!
 
Nakumatt Arusha ni zaidi ya mita za mraba 2000 eneo la duka tu. Hizi mita za mraba 100!
 
Duh! ni jengo la ghorofa ngapi hilo?
au limelipiwa miaka migapi?
 
Inaonekana wewe ni mgeni katika biashara. Hapa nyumba ya NHC ya biashara ya ukubwa huo hupati chini ya tzs 500m Sokoine Road!!

hahah acha fix mkuu,nilimpa mshakaj mil9 akaniachia goli hapohapo kwny maduka ya msajil"NHC" Afu we unataka 120mil,hela ngumu mkuu ohoo!
 
Stock plus equipment Tzs 40m, shop space Tzs 120m. Kwa kifupi usd 100,000 unapewa funguo na nyaraka zote za Brela ili kubadilisha umiliki. Jina la biashara linaweza kuendelea kutumika kwa kuwa nyumba ni ya kupanga na kusiwe na haja ya kubadilisha mkataba wa upangishaji.

Samahani Unaongea Ukiwa Mzima Wa Afya? Yaani Chumba MILION 120 TZS?
 
Mwambie aendelee nalo tu ,yeye ndo anajimudu.
 
Stock plus equipment Tzs 40m, shop space Tzs 120m. Kwa kifupi usd 100,000 unapewa funguo na nyaraka zote za Brela ili kubadilisha umiliki. Jina la biashara linaweza kuendelea kutumika kwa kuwa nyumba ni ya kupanga na kusiwe na haja ya kubadilisha mkataba wa upangishaji.

Mkuu ktk M 120 yako ni % ngap maana parefu sana😕😕😕
 
Back
Top Bottom