Biashara inayo weza kumvusha mtu katika kipindi hiki cha ongezeko la gharama za maisha

Biashara inayo weza kumvusha mtu katika kipindi hiki cha ongezeko la gharama za maisha

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
338
Reaction score
683
Wakuu heri?

Kila Kona ya tanzania ni vilio watu wanalia hali ngumu, lakini katika wakati huu kuna wachache ambao kwao wanapiga mpunga kuliko kipindi chochote kile.

Miongoni mwanufaika wakubwa wa kipindi hiki ni wafanya biashara wakubwa.

Je ni aina gani ya biashara mtu akiifanya anaweza ku survive kwenye kipindi hiki inayo endana na mazingira harisi ya kitanzania?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara haina formula maalum, biashara inategemeana na mazingira na uhitaji wa kitu.
 
Uzi mzuri sana ila kuna washenzi watakuja uharibu.

Mimi nashauri biasharra ya chakula..tumbo huwa halijui kupanda kwa gharama za maisha au kushuka...hilo linataka msosi tu.


#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom