Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
Karibu mkuuThis is an amazing post.
You made my day.
Profits from games of knowledge: PredictMag - A new way to make easy profits
Mkuu umenena vyema.Aisee saiv komaa na biashara ya huduma na si uchuuzi unaweza ukavuka mkuu
Hakika mkuu, sema Chakula ni biashara pana sana, je unamaanisha nafaka au kilicho pikwa (mama lishe)Uzi mzuri sana ila kuna washenzi watakuja uharibu.
Mimi nashauri biasharra ya chakula..tumbo huwa halijui kupanda kwa gharama za maisha au kushuka...hilo linataka msosi tu.
#MaendeleoHayanaChama