Biashara inayokwisha na biashara isiyoisha

In short hiyo ndiyo huitwa goods and services.
 
Ipi tofauti ya biashara isiyoisha na huduma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa amechanganya mafaili japo ana wazo zuri. Katika biashara zipo za aina mbili! Kuna uzalishaji bidhaa na utoaji huduma.
Alichodhamiria kusema mtoa mada ni utoaji huduma. Ni aina ya biashara ambayo gharama kubwa huwa kipindi cha kuianzisha kisha inakuwa endelevu kisha huitaji maboresho ya vitendea kazi na mazingira tu.
Mfano: Kujenga choo cha kulipia, utahitaji kuwa na eneo la kujengea hiko choo tu ambayo ndio gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…