"Ukiona huwezi kutumia nguvu kufanya biashara jitahid utumie sana akili"hii ni information era.. kuna hela nyingi sana kwenye internet akiwa mjanja..
mimi hapa ukinipa hiyo hela.... nitakuwa na online tv ambayo itasumbua sana nchini... mwaka wa kwanza utakuwa wa introduction stage sitawaza faida hata senti...
mwaka wa pili tu napiga hiyo hela mara kadhaa...
unajua hata hii jamiiforums ni biashara ya mike na max... wametumiaa tu akili zao kupiga hela na wametoa ajira kibao kwa hawa mods wanaotupiga ban..
ukiona huwezi kutumia nguvu kufanya biashara... jitahidi utumie sana akili... utafanikiwa tu