Biashara ipi ya kuwekeza kipindi hiki kwa mtaji wa milioni 30 -50?

Nikikuwa nahitaji ushauri wenu nina Mtaji wa millioni 30 nahitaji kufungua biashara dodoma mlikuwa mnanishauri na biashara gani
Tafuta center iliyochangamka chukua mchele grade tofauti tofaut,tafuta maharage yanayopendwa kama aina tatu iv,unga na mazagazaga ya vyakula vingine uza jumla jumla if possible nunua na boda fanya delivery
 
Kwa upande wangu number 2 and 4 ndio zitakua biashara nzuri Cha muhimu location na msimamizi atakempata awe serious pia kwa kushona creativity ikihusika kidogo kufanya kitu Cha tofauti itapendeza.
 
Nikikuwa nahitaji ushauri wenu nina Mtaji wa millioni 30 nahitaji kufungua biashara Dodoma. Mlikuwa mnanishauri na biashara gani?
Kama unapenda magari( narudia tena kama unapenda magari) chukua Civilian toka japan baada ya mwaka na nusu pesa yako itakuwa imerudi then anza mipango mingine. Unless otherwise nichek tuonane ana kwa ana tufanye uwekezaji wa maana. Nipi dodoma
 
Nikikuwa nahitaji ushauri wenu nina Mtaji wa millioni 30 nahitaji kufungua biashara Dodoma. Mlikuwa mnanishauri na biashara gani?
Kwa Dodoma Fanya haya.

1.machine ya kusaga na kupark unga.

2.hardware kwa maeneo kama chang'ombe kwenda ndanchi.

3.machine ya kukamua alizeti hii waweza iweka popote kwa Dodoma.


4.usafirishaji kama bajaji,kwahy hela utapata bajaji nne na change inabaki nyingi tu,hii biashara ndo nafanya yaani ni nzuri sana.

Anyways ideas ni nyingi sana if interested njoo Pm kidogo
 
Hao wanaoshusha kwenye macontainer unawapatia wapi boss
 
Mkuu 40 M ni hela nzuri sana,

Biashara unaweza fanya zenye return ya kati ya 3% kwa mwezi hadi 15% kwa mwezi,Full Reported,Well managed,Low Risk,Transparent etc.Kwa maelezo zaidi PM.Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…