Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya biashara ya kukopesha pesa (vikoba). Kopesha elfu 50 tu kwa kila mfanyabiashara mdogo mdogo na riba ni 10,000 kwa 15,000 kwa wasumbufu, na wale wasio sumbua ni 10,000 kwa 13,000.Nikiwa na one million naweza fanya biashara gani na ikanipa faida nzur msaada apo
Sawa ngoja nifanyie kazFanya biashara ya kukopesha pesa (vikoba). Kopesha elfu 50 tu kwa kila mfanyabiashara mdogo mdogo na riba ni 10,000 kwa 15,000 kwa wasumbufu, na wale wasio sumbua ni 10,000 kwa 13,000.
Mwanzo ni mgumu sana maana itakuchukua muda ili kijulikana na watu ila wateja wakishajua ww ni mkopeshaji, ww ni kupiga pesa tu.
Ila kabla ya yote nenda TRA kwanza kaulize kinahitaji nn na nn ili ufanye biashara hyo.
Pia unatakiwa uwe na mbinu ili uweze kudai pesa yako na sio kutumia maguvu kama unanyanyua vyuma, hivyo inatakiwa uandike mkataba mzuri ili uweze kumpana mkopaji.