Peter Bashaka
New Member
- Jul 31, 2022
- 1
- 1
Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania
Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na kutengeneza katika namna ambayo haitafanana na bidha zingine na kuingiza sokoni. Ujasiriamali sio kama wengine wanavo fikilia kwamba ni Kufanya biashara ndogo ndogo kama kuuza nyanya, kufuga kuku nk.
Kutokana na taarifa gazeti la Forbes la mwaka 2015, lina eleza kua asilimia 80% ya bilionea dunia chanzo cha utajiri Wao ni UJASIRIAMALI. tume kua tuki washangaa na kuwasujudu matajiri kama Mohammed dewj, Bahkresa lakini hawa ni WAJASIRIAMALI kama wali I wengine kwa maana hubuni bidhaa na kuitengenezea kisha kuingiza sokoni.
Njia za kua MJASIAMALI bora ni pamoja na "kubuni na kutengeneza bidhaa mpya na kipekee katika jamii ambayo ikiingia sokoni haiwezi kupata ushindani mkubwa", kukubali hasara.. MJASIAMALI ni yule ambae yuko tayari kupata hasara japo katika biashara hatutegemei hasara, kujifunzia kwa wengine, Kufanya mchanganuo wa mtaa na kuusoma mtaa na kuelewa unataka nini mtaa.
Biashara yoyote ile ina manufaa na ina faida ukiamua kuifanya, makosa yanajitokeza Pale ambapo tuna fanya kwa kunakiri na kuweka. Zipo biashara hukuwezesha kukuingizia kipato kikubwa kwa mwezi, wiki na siku, mfano biashara ya Matunda, Maji, chakula nk
Kabla hauja anza biashara yoyote zingatia yafuatayo, Hali ya hewa.. Hali ya hewa huchochea aina ya bidhaa flani mfano Dar es Salaam inachochea sana biashara ya Maji baridi masafi yaliyo chujwa kutokana na uwepo joto, idadi ya watu.. Mfano miji yenye watu wengi kama dar es Salaam 🌆 ina chochea biashara ya chakula kutokana na uwepo wa watu wengi

Upvote
1