Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Euphoria
a feeling or state of intense excitement and happiness.

Habari wakuu,

Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za mihemko kisasa zaidi haiwezi kumtumpa mtu.

Zifuatazo ni boashara zitakazo nitajirisha mwaka 2035. Nitachagua moja kati ya hizi

Ukumbi wa kuonyesha mpira wa kisasa zaidi unaofanana na movie theatre.
Ukumbi utakuwa wa duara kimuonekano utakuwa kama uwanja wa mpira kwa nje, kutakuwa na matangazo makubwa ya kisasa, utachukua watu 400 hadi 500, kutakuwa na TV kubwa za kisasa kama zile za studio za Azam, kutakuwa na feni au AC za kisasa, tiles kwa chini na ukutani na taa za rangi rangi, majukwaa ya kisasa ya kukalia
Jiangnan_Photography.jpg

utafanana na huu

Huu ukumbi utatumika kwa matumizi mbali mbali kama vile harusi na mikutano

Gharama ya ukumbi 40-50 milioni

Danguro
Nitajenga jengo lenye vyumba 25, litakuwa la kisasa zaidi na kutakuwa na watu wa usafi. Hili danguro utalipia elfu tano kwa kila saa moja na nusu, ukiwa na demu ukiingia utalipa elfu kumi kisha masaa utakayotumia chenji ikibaki utarudishiwa.
Pombe zitakuwepo muziki utakuwepo

Hizi ndizo biashara zitakazo nitajirosha mwaka 2035

Nakaribisha maoni kinzani
 
Huo uwekezaji si zaidi ya milioni 400 kuanzia eneo paka ujenzi?

Sasa usiseme hizo biashara zitakutajirisha maana tayari utakuwa tahiri hadi uweze kufanya huo uwekezaji.
 
Huo uwekezaji si zaidi ya milioni 400 kuanzia eneo paka ujenzi?

Sasa usiseme hizo biashara zitakutajirisha maana tayari utakuwa tahiri hadi uweze kufanya huo uwekezaji.
Unajua gharama ya kukodi ukumbi wa harusi hapo ktk mkoa unaoishi ni sh nhapi?

Ntajenga mdogo mdogo kwa miaka kumi kuanzia 2025
 
Huo uwekezaji si zaidi ya milioni 400 kuanzia eneo paka ujenzi?

Sasa usiseme hizo biashara zitakutajirisha maana tayari utakuwa tahiri hadi uweze kufanya huo uwekezaji.
 
5000 kwa saa, siku ina masaa 24, maximum 120,000 per room, kwamba watu wanapenda sana mti nyama

Bora upande michikichi au minazi
 
5000 kwa saa, siku ina masaa 24, maximum 120,000 per room, kwamba watu wanapenda sana mti nyama

Bora upande michikichi au minazi
Boda boda bajaji na walala hoi wengine plus wenye uwezo wa kati wote wataniletea pesa

Madada poa wapo wengi sana wakuwaweka hapo
 
Wazo la kwanza ni poa sana ukilenga location nzuri, biashara yoyote ile ni nzuri, mchawi huwa location tu.
 
Back
Top Bottom