Eddie Nas
Member
- Jun 14, 2013
- 14
- 0
Waungwana me ninaishi na kufanyakazi China, lakini bado nataka kujishughulisha na business huko bongo, hivi ni business gani inalipa huko? Tatizo sijajua kama kuna business gani naweza kufanya, kama nikifanya na ikiwa na mafanikio basi nitakua naleta hata mzigo mkubwa tatizo sina idea ya business huko maana sometimes bongo watu tunakua wagumu katika malipo, nipeni ushauri wakuu. Eddie Nas, China