Biashara kati ya Tanzania na Comoros kwa bidhaa za nyama, mayai kienyeji, asali na mafuta ya alizeti

Biashara kati ya Tanzania na Comoros kwa bidhaa za nyama, mayai kienyeji, asali na mafuta ya alizeti

Encysis Inc

Member
Joined
Jul 31, 2019
Posts
87
Reaction score
118
Habari,

Ni mjasiriamali wa Bidhaa za Ufugaji na Kilimo [(Mayai, Kuku na Kanga) (Mafuta ya Alizeti na Asali)]. Naomba Kufahamu Machache kuhusu:-

1. Uwezekano wa Kufanya Kazi katika visiwa vya Komoro
2. Nauli toka Tanzania to Comoro kwa Njia ya Maji bila mzigo
3. Mchakato wa Bandari ya Comoro
4. Changamoto za wazi
5. [emoji848][emoji848][emoji848]
IMG_20220318_192931.jpg
IMG_20220318_192924.jpg
20220407_161222.jpg
IMG-20210311-WA0003.jpg
images%20(4).jpg
 
Ukikosa msaada humu nenda ubalozi wa Comoro, au nenda Kariakoo hoteli hizi zimejaa wafanyabiashara wa comoro masaa 24 mwaka mzima wanyama hotel, pearl hotel, kilunguja hotel. Hapa utashiba kiu ya maswali yako yote. Kuhusu zambia and zimbabwe nenda hotel hizi wanyama hotel, rising sun, kuhusu biashara ya congo ,Rwanda na burundi nenda Conrad hotel, flex 1+2 hotel. Wacomoro ni waaminifu japo wapo slow sana mambo yao. Ukitaka kufanikiwa Comoro shikamana na Mcomoro yaani hio biashara iwe kama ya kwake utauza. Kisha panda twiga nenda Comoro kafanye utafiti, anza na mtaji mdogo.
 
Ahsane sana. Hapa umetoa maelekezo yamenyooka sana, nitafanyia kazi [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom