Ukikosa msaada humu nenda ubalozi wa Comoro, au nenda Kariakoo hoteli hizi zimejaa wafanyabiashara wa comoro masaa 24 mwaka mzima wanyama hotel, pearl hotel, kilunguja hotel. Hapa utashiba kiu ya maswali yako yote. Kuhusu zambia and zimbabwe nenda hotel hizi wanyama hotel, rising sun, kuhusu biashara ya congo ,Rwanda na burundi nenda Conrad hotel, flex 1+2 hotel. Wacomoro ni waaminifu japo wapo slow sana mambo yao. Ukitaka kufanikiwa Comoro shikamana na Mcomoro yaani hio biashara iwe kama ya kwake utauza. Kisha panda twiga nenda Comoro kafanye utafiti, anza na mtaji mdogo.