More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Electronics used ndo bei nafuu kwa kule. Usisahau hela ya tra bandarini.Habari za asubuhi wapendwa
Mimi ni kijana umri wangu ni 30years
Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar
Niko interested sana na biashara za Electronics.
Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela Dar
Mtaji wangu kwa sasa ni 2M.
Comments zote zitasomwa
Ahsante
Note : lazima ufahamu unapokwenda kwanza , than strategies soko lako na demand ya bidhaa unazohitaji ,Habari za asubuhi wapendwa
Mimi ni kijana umri wangu ni 30years
Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar
Niko interested sana na biashara za Electronics.
Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela Dar
Mtaji wangu kwa sasa ni 2M.
Comments zote zitasomwa
Ahsante
Ndo maana nmekuja huku kuuliza kama inalipaUnaakili kweli..wazenji wanakimbilia bara kwa ugumu wa maisha wewe nawe unaenda kuaagiza nini huko..wakati watu wahuko hata mchicha wanagiza kutoka kwenye bonde la msimbazi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app