Hamisi Mhoja
Member
- Nov 22, 2019
- 22
- 23
ulishawah kufanya biashara kabla ya nafaka..?Jamani nina Tsh. Milioni 5 na nina mpango wa kununua Mpunga.
Je, kutoka na ugonjwa huu nitapata faida baada ya Miezi 6?
Naomba ushauri Wafanyabiashara wenzangu.
Asante kwa UshauriKachukue mzigo wa Nazi , msimu huu wa Ramadhan utauza sana
Hata business ya mchele ipo safi
Sent from my iPhone using JamiiForums
ulishawah kufanya biashara kabla ya nafaka..?
sawa MUNGU akutangulie utafanikiwa tu mkuu..Ndiyo nimewahi kufanya,Hata biashara ya nafaka niliwahi kufanya ila sanasana Nimefanya biashara ya duka la rejreja
Sent using Jamii Forums mobile app