Biashara kila kona, mnaharibu ladha ya nchi

Biashara kila kona, mnaharibu ladha ya nchi

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
222
Reaction score
517
Kila Kona Kuna biashara, watu wanahangaika sana kwa sababu ya pesa.
Halafu hiyo pesa wanatumia ikulipa ili waishi Katika sayari yao wenyewe.

Dunia imekuwa kama jenehamu, biashara zinahharibu radha ya jiji.
1740328000196.jpg
 
Hali ni ngumu sana mtaani, jua ni kali kweli kweli ! Kila mtu anahahgaika ili apate chochote kitu ale na familia! Bora hata hao walofungua biashara kiholela, umeshawawazia wale wanama wanazunguka na beseni la matunda ama kapu la mboga na jua kali ?? ! Je wale jamaa zangu machinga? Mtu anaamka tu anajitwisha mzigo, anaenda uelekeo wowote tu ilimradi apate mteja,,,, !
 
Kariakoo kwenye mitaa ambayo imetengenzwa barabara kwa ajiri ya magari kupita watu wamemwaga bidhaa zao wanauza halafu ukipita na gari(lengo mahususi la barabara kutengenezwa) unaambiwa hakuna njia.
Aisee ,
 
Hali ni ngumu sana mtaani, jua ni kali kweli kweli ! Kila mtu anahahgaika ili apate chochote kitu ale na familia! Bora hata hao walofungua biashara kiholela, umeshawawazia wale wanama wanazunguka na beseni la matunda ama kapu la mboga na jua kali ?? ! Je wale jamaa zangu machinga? Mtu anaamka tu anajitwisha mzigo, anaenda uelekeo wowote tu ilimradi apate mteja,,,, !
Ina sikitisha sana ndugu. Nafikiri mifumo wa maisha ulipaswa kurekebishwa.
 
Sayari si yetu sote basi nenda pale CRDB Bank Lumumba ingia safe chukua pesa na gold za kutosha au ingia Shamba lolote jichumie chakula ondoka zako! 😀
 
Back
Top Bottom