πSio radha ni ladha. Sema la, le , li ,lo, lu haya tamka ladha.
Ina sikitisha sana ndugu. Nafikiri mifumo wa maisha ulipaswa kurekebishwa.Hali ni ngumu sana mtaani, jua ni kali kweli kweli ! Kila mtu anahahgaika ili apate chochote kitu ale na familia! Bora hata hao walofungua biashara kiholela, umeshawawazia wale wanama wanazunguka na beseni la matunda ama kapu la mboga na jua kali ?? ! Je wale jamaa zangu machinga? Mtu anaamka tu anajitwisha mzigo, anaenda uelekeo wowote tu ilimradi apate mteja,,,, !
Alisoma kindagadeni huyuSio radha ni ladha. Sema la, le , li ,lo, lu haya tamka ladha.
π€£π€£π€£π€£πSio radha ni ladha. Sema la, le , li ,lo, lu haya tamka ladha.
Frem sasa kila sehemu zinaharibu sana muonekano wa mijiKila Kona Kuna biashara, watu wanahangaika sana kwa sababu ya pesa.
Halafu hiyo pesa wanatumia ikulipa ili waishi Katika sayari yao wenyewe.
Dunia imekuwa kama jenehamu, biashara zinahharibu radha ya jiji.View attachment 3249152
unamaanisha jehanamuDunia imekuwa kama jenehamu