candygrapez
Member
- Jul 21, 2009
- 12
- 3
Za leo ngugu zangu? natumaini mambo yanaenda vizuri.
Hivi karibuni nimekuw nikiwaza sana juu ya kufanya small investiment hapa bongo, na nimepata mawazo mawili:
1. kununua mashine ya kusaga nafaka, nitengenze unga nipaki kwenye viroba na kisha niuze. Ingawa kwa wazo hili najiona kama nimechelewa sababu kwa tathmini yangu ambao sio lazima iwe sahihi, watu wanaofanya hii kitu both kwa small nalarge scale ni wengi, ushidani naona utakuwa mkuwa ingaw sijakatia tamaa, bado nalikusanyia mawazo.Sijui nyie wadau mnasemaje?
2. kununua mashine ya utengeneza viroba (PP bags)ambavyo vinapaki hizo nafaka na mambo mengine, sijafanya utafiti juu ya hili kwamba sokoni kuna ushindani gani ila naamini uhitaji wa hizi bidhaa ni mkubwa. Msaada ninaouomba kwenu ni hali halisi ilivyo, je kuna uhitaji kweli au ni habari tu za kinadharia? kingine kikubwa ni upatikanaji wa malighafi ?napata kutoka wapi? niko gizani kabisa katika hii issue kwa ujumla wake, kwahiyo naomba mnifungue macho kwa lolote lile ili nipate japo pa kuanzia katika hii safari yangu ya kujikwamua na umsikini.
Nashukuru kwa muda wako!